Beki wa klabu ya Yanga, Andrew Vincent 'Dante' jana alipewa mikoba ya kuwa kapteni wa timu hiyo kufuatia kutokuwepo kwa Kelvin Yo...
Read More
Home / Michezo kitaifa
Showing posts with label Michezo kitaifa. Show all posts
Showing posts with label Michezo kitaifa. Show all posts
SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI ZA CECAFA
Vijana wa Serengeti Boys imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA chini ya umri wa miaka 17 inayoendelea huko nchini ...
Read More
MICHEZO MEI MOSI IRINGA YAZINDULIWA
KAMATI ya mashindano ya Mei Mosi Taifa imesikitishwa na kupungua kwa timu shiriki katika mashindano ambayo yamezinduliwa leo uwanja wa...
Read More
LIPULI FC 1-1 SIMBA SC, ADAM SALAMBA AENDELEZA UBABE
Mchezaji wa Lipuli Fc Adam Salamba akipokea hundi ya sh. millioni moja Salamba akipokea king'amuzi cha Azam Bench la Ufund...
Read More
MKWASA AELEZA MBINU WATAKAZOTUMIA KUTWAA MAMILIONI YA CAF ETHIOPIA
Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ameelezea namna maandalizi ya kambi kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi y...
Read More
BOCCO AIHOFIA WANAPALUHENGO LIPULI FC
Nahodha wa Simba, John Bocco, amesema mapambano yanaendelea katika michezo yote ijayo ya ligi kwa kuwa lengo lao kubwa ni kupata ubingwa. ...
Read More
MASHABAIKI YANGA WAVAMIA MAKAO MAKUU KISA LWANDAMINA
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wamevamia ofisi za Makao Makuu ya klabu hiyo usiku huu wakimtaka Katibu Mkuu, Charles Boniface ...
Read More
YANGA KUKIPIGA NA SINGIDA LEO BILA YA LWANDAMINA
Yanga inaingia kibaruani katika Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo kukabiliana na Singida United kutoka Singida. Mechi hiyo Yanga itakuwa...
Read More
KIKOSI CHA SIMBA HIKI HAPA DHIDI YA MTIBWA SUGAR, MKUDE NDANI
Kikosi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara 1. Aishi Manula 2. Nicholas Gyan 3. Asante K...
Read More
KAMUSOKO ANAWASUBIRI KWA HAMU WAETHIOPIA JIONI
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko amewapia wapinzani wao Wolayta Dicha wa Ethiopia katika mchezo wao wa leo kwa kusema wamejiandaa vilivy...
Read More
KIKOSI CHA SIMBA SC KUWEKA KAMBI IRINGA TENA
Kikosi cha Simba kimeanza safari asubuhi hii kuelekea mkoani Iringa ambapo kitaweka kambi ya muda ili kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya...
Read More
WELAYTA DICHA WATUA NCHINI KUKIPIGA NA YANGA
Wapinzani wa Yanga katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Welayta Dicha FC, wanatarajiwa kuwasili leo nchini. Kikosi hicho kina...
Read More
NJOMBE WAAHIDI KUIBUKA NA POINT 3 DHIDI YA SIMBA LEO SABASABA
Kuelekea mchezo wa Leo dhidi ya Simba, Uongozi wa Njombe Mji umesema timu yao ipo tayari kwa mapambano. Katibu Mkuu wa timu hiyo, Obed Mw...
Read More
WAZAMBIA WATUA NCHINI KUIKABILI TWIGA STARS
Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake kutoka Zambia kimewasili jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya ...
Read More
LECHANTRE AJIPANGA KUIPASUA NJOMBE MJI SABASABA VPL
Kocha Mfaransa wa Simba, Pierre Lechantre amesema mazoezi wanayofanya sasa ni kuhakikisha wanashinda katika mchezo wao ujao wa Ligi K...
Read More
JONAS MKUDE AWASHUSHA PRESHA SIMBA SC
BAADA ya juzi kuumia akiwa kwenye mazoezi na kuleta hofu, kiungo wa Simba, Jonas Mkude, anatarajiwa kurejea uwanjani kesho kuendelea k...
Read More
Yanga kukutana na Welayta Dicha ya Ethiopia
Mabingwa wa soka Tanzania bara Young Africans wamepangwa kupambana na Welayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya...
Read More
MANARA: UZALENDO KWA YANGA HATUTAKI TENA
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba SC, Haji Manara amesema kuwa hivi sasa Simba na mashabiki wake hawawezi kuw...
Read More
LIPULI YAJIPANGA KUPATA USHINDI MECHI ZOTE ZILIZOSALIA
UONGOZI wa Lipuli FC, umeweka mikakati ya kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Lipuli wameweka mi...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)