Mugabe akomaa na funguo za nyumba ya rais HABARI ZOTE Monday, April 09, 2018 Add Comment Edit Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe bado anashikilia funguo za makazi rasmi ya rais wa nchi hiyo ikiwa ni miezi minne tangu alipol... Read More
Mugabe: Sikudhani kuwa Mnangagwa atanigeuka HABARI ZOTE Friday, March 16, 2018 Add Comment Edit Rais wa zamani wa Zimbabwe amesema kuwa hakufikiria kuwa rais wa sasa wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa angemgeuka na kusimama dhidi yak... Read More
ISRAEL YAFANYA SHAMBULIO LA KOMBORA KWA PALESTINA HABARI ZOTE Saturday, December 09, 2017 Add Comment Edit Jeshi la Israel limefyatua makombora kadhaa kuelekea eneo la Gaza, Palestina ikilenga wapiganaji wa kundi la Hamas. Jeshi hilo la... Read More
Mauaji Las Vegas: Chama cha Umiliki wa Bunduki Marekani Chaunga Mkono Mageuzi HABARI ZOTE Friday, October 06, 2017 Add Comment Edit Chama cha taifa cha wamiliki wa bunduki Marekani (NRA) kimeonekana kubadilisha msimamo wake na kuunga mkono udhibiti wa vifaa ambavyo hutum... Read More
Uchaguzi wa marudio Kenya Oktoba 17 HABARI ZOTE Tuesday, September 05, 2017 Add Comment Edit TUME ya Taifa ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC) imetangaza uchaguzi wa marudio wa urais kufanyika Oktoba 17 mwaka huu. Mweny... Read More
Taharuki Kenya huku matokeo ya uchaguzi wa urais yakisubiriwa kwa hamu HABARI ZOTE Friday, August 11, 2017 Add Comment Edit Hali ya taharuki imetanda nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo (IEBC) ikitazamiw... Read More
Katibu wa habari Ikulu ajiuzulu kupinga uamuzi wa Rais Trump HABARI ZOTE Saturday, July 22, 2017 Add Comment Edit Msemaji wa Ikulu ya Marekani, White House, Shawn Spicer, amejiuzulu wadhifa wake kwa madai ya kupinga mabadiliko ya Timu ya Mawasilia... Read More
NRM kubadili katiba ili Kumwongezea muda Rais Museveni HABARI ZOTE Thursday, July 20, 2017 Add Comment Edit Chama tawala nchini Uganda cha National Resistence Movement (NRM) kimeapa kuhakikisha kwamba katiba ya nchi hiyo ina badilishwa ili k... Read More
Jaji wa mahakama kuu India ahukumiwa HABARI ZOTE Thursday, June 22, 2017 Add Comment Edit Jaji CS Karnan Aliyekuwa hakimu wa zamani wa mahakama kuu nchini India amepelekwa lupango Mashariki mwa mji wa Kolkata, siku moja ba... Read More
Kiongozi wa upinzani Urusi atupwa jela kwa kuandaa maandamano HABARI ZOTE Tuesday, June 13, 2017 Add Comment Edit l exei Navalny (kulia) ana nia ya kugombea urais mwaka ujao Kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amehukumia kifungo cha si... Read More
Amri ya Trump kuzuia raia kutoka nchi za kiislamu yapata pigo jingine mahakamani HABARI ZOTE Tuesday, June 13, 2017 Add Comment Edit Mahakama ya rufaa nchini Marekani imemua kuwa uamuzi wa kuzuia mpango uliofanyiwa marekebisho wa marufuku ya Rais Donald Trump kuzuia... Read More
Kundi la Islamic State lasema lilihusika na shambulio London HABARI ZOTE Monday, June 05, 2017 Add Comment Edit Polisi nchini Uingereza wamekuwa wakifanya msako kwenye makazi manne mjini London hadi usiku wa manane kama sehemu ya uchunguzi juu... Read More
Ugomvi wa Marekani na Russia wazidi kuwa mkubwa HABARI ZOTE Monday, June 05, 2017 Add Comment Edit James Clapper, mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA Katika kile kinachoonekana wazi ni kuzidi kuongezeka mzozo bai... Read More
Nyumba elfu moja zaharibiwa na mafuriko nchini Nigeria HABARI ZOTE Monday, June 05, 2017 Add Comment Edit Mratibu wa huduma za dharura wa shirika la kimataifa la wahajiri amesema kuwa, nyumba zisizopungua elfu moja zimeharibiwa na mafurik... Read More
Ufilipino: Watu 36 wafariki chumba cha kamari Manila HABARI ZOTE Friday, June 02, 2017 Add Comment Edit Watu 36 wameuawa katika kituo cha kuchezea kamari mjini Manila, Ufilipino baada ya mtu mwenye silaha kuanza kuwafyatulia risasi watu ... Read More
Asasi za kiraia zatahadharisha juu ya kuendelea hali mbaya ya wakimbizi Chad HABARI ZOTE Thursday, June 01, 2017 Add Comment Edit Asasi zisizo za kiserikali zimeonya kuhusiana na kuendelea kuwa mbaya hali ya wakimbizi na mgogoro wa kibinadamu nchini Chad. Taarif... Read More
Wahajiri 44 wafariki dunia kwa kiu kaskazini mwa Niger baada ya gari lao kuharibika HABARI ZOTE Thursday, June 01, 2017 Add Comment Edit Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, wahajiri wapatao 44 ambao wengi wao ni kutoka nchi za magharibi mwa Afrik... Read More
Polisi wawili wauawa na wauzaji wa mihadarati Peru HABARI ZOTE Thursday, June 01, 2017 Add Comment Edit Jimbo la Apurimac-Ene ni maarufu kwa biashara za madawa ya kulevya Askari polisi wawili wamepigwa risasi na kuuawa nchini Peru na... Read More
Wazayuni waitaka Marekani iendelee kuliunga mkono kundi la Daesh (ISIS) HABARI ZOTE Saturday, May 27, 2017 Add Comment Edit Baadhi ya maafisa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameishauri Marekani kuwa haipasi kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) litok... Read More
Wanajeshi 7 wa Saudi Arabia waangamizwa na vikosi vya wananchi wa Yemen HABARI ZOTE Saturday, May 27, 2017 Add Comment Edit Jeshi la Yemen na vikosi vya wananchi wa nchi hiyo vimejibu uchokozi na jinai za Saudi Arabia na washirika wake kwa kuwaangamiza wan... Read More