WENGER ADAI AMELAZIMISHWA KUONDOKA ARSENAL HABARI ZOTE Thursday, April 26, 2018 Add Comment Edit Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa tangazo lililofanywa kuhusu kuondoka kwake katika klabu ya Arsenal siku ya Jumatano baada... Read More
KLOPP AWATAKA MASHABIKI WA LIVERPOOL KUWAHESHIMU ROMA HABARI ZOTE Tuesday, April 24, 2018 Add Comment Edit Na Dajari Mgidange , Kocha wa timu ya majogoo wa jiji Liverpool amewataka mashabiki wa timu hiyo kutumia busara kubwa wakati wa map... Read More
ARTURO VIDAL KUIKOSA MADRID UEFA CHAMPIONS HABARI ZOTE Wednesday, April 18, 2018 Add Comment Edit Kiungo wa mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich Arturo Vidal, atakosa mchezo wa nusu fainali ligi ya mabingwa barani Ulaya d... Read More
KLOPP: SALAH HAWEZI KUUZWA KWA DAU LOLOTE LILE HABARI ZOTE Friday, April 13, 2018 Add Comment Edit Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kuwa hakuna uwezekano wowote kwamba mshambuliaji wa Misri Mo Salah atauzwa mwisho wa msimu huu... Read More
REAL MADRID NA BAYERN MUNICH ZATINGA NUSU FAINALI HABARI ZOTE Thursday, April 12, 2018 Add Comment Edit Real Madrid imefanikiwa kufuzu kungia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa mabao 4-3 kwa njia ya Aggregate. Madr... Read More
USIKU WA UEFA MASHABIKI WA CITY NA BARCELONA WAANGUA VILIO UWANJANI HABARI ZOTE Wednesday, April 11, 2018 Add Comment Edit Liverpool imefika katika nusu fainali yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa kwa miaka 10 baada ya kujikokota na kuishinda Manchester City kw... Read More
KANE ATAMBA KUMSHINDA MO SALAH HABARI ZOTE Monday, April 09, 2018 Add Comment Edit Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Harry Kane, amesema anaamini atamshinda nyota wa Liverpool Mohamed Salah na kutwaa tuzo ya mfungaji ma... Read More
LIVERPOOL YAIUA MANCHESTER CITY 3-0 HABARI ZOTE Thursday, April 05, 2018 Add Comment Edit Michuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Michezo miwili imepigwa ambapo Barcelona... Read More
RONALDO AONESHA UBABE KWA JUVENTUS HABARI ZOTE Wednesday, April 04, 2018 Add Comment Edit Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya imeendelea usiku wa kuamkia leo kwa mechi mbili kuchezwa. Juventus iliyokuwa kwenye Uwanja wake wa nyumbani ... Read More
ARSENE WENGER HATAKI KUKUTANA NA ATLETICO MADRID EUROPA LEAGUE HABARI ZOTE Friday, March 16, 2018 Add Comment Edit Menaja wa Arsenal Arsene Wenger amesema angependa sana Arsenal wasipangwe kukutana na Atletico Madrid ya Uhispania katika ligi ndogo... Read More
CONTE: BARCELONA HAWAJATUTENDEA HAKI KIPIGO CHA 3-0 HABARI ZOTE Thursday, March 15, 2018 Add Comment Edit Meneja wa Chelsea Antonio Conte amesema alihisi kwamba kichapo cha 3-0 ambacho klabu yake imepoteza katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya ... Read More
ManCity , Juventus zatinga robo fainali klabu bingwa Ulaya HABARI ZOTE Thursday, March 08, 2018 Add Comment Edit Michuano ya Klabu bingwa Ulaya imeendelea tena jana Jumatano kwa michezo miwili Manchester city wakiwa nyumbani Etihad wamebanwa mbavu... Read More
Arsenal tena uso kwa uso na Mancity HABARI ZOTE Thursday, March 01, 2018 Add Comment Edit Ligi Kuu Uingereza inaendelea tena leo kwa mechi moja kuchezwa Emirates Stadium ambapo Arsenal itakuwa inaikaribisha manchester City. ... Read More
LIVERPOOL YAUA 7, COUTINHO APIGA HAT TRICK HABARI ZOTE Thursday, December 07, 2017 Add Comment Edit Nahodha wa Liverpool katika mchezo wa jana, Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga matatu dakika za nne kwa penalti, 15 na 50 ka... Read More
AUBAMEYANG AACHWA NJE KATIKA KIKOSI CHA DORTMUND HABARI ZOTE Saturday, November 18, 2017 Add Comment Edit Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang ametemwa katika kikosi cha timu hiyo kutokana na maswala ya ukosefu wa ni... Read More
IBRAHIMOVIC NA POGBA KUKUTANA NA NEWCASTLE HABARI ZOTE Saturday, November 18, 2017 Add Comment Edit Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba wataorodheshwa katika kikosi cha Manchester United katika mechi ya Jumamosi ya ligi ya Uingereza dh... Read More
Arsene Wenger: Waamuzi wameendelea kuwa wabaya kila mwaka HABARI ZOTE Monday, November 06, 2017 Add Comment Edit Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema viwango vya usimamizi wa mechi katika Ligi Kuu England vimeendelea kudorora mwaka baada ya mwaka. ... Read More
SIRI YA RONALDO KUWAGARAGAZA MESSI NA NEYMAR HII HAPA HABARI ZOTE Tuesday, October 24, 2017 Add Comment Edit MRENO Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa FIFA baada ya kumshinda hasimu wake mkubwa, Lionel Messi na Neymar ka... Read More
KOCHA EVERTON ATAKA KIKOSI CHAKE KIAMKE KATIKA MICHUANO YA EUROPA LEAGUE HABARI ZOTE Thursday, September 14, 2017 Add Comment Edit Kocha Ronald Koeman wa Everton amesema baada ya kipigo cha mabao 3-0 wakiwa nyumbani dhidi ya Tottenham katika Ligi Kuu England, s... Read More
Harry Kane na Cr7 ni mwendo wa bampa to bampa CL, matokeo haya hapa HABARI ZOTE Thursday, September 14, 2017 Add Comment Edit Harry Kane na Cristiano Ronaldo wote sasa wanakuwa wamefunga mabao 29 katika mwaka huu wa 2017, Kane amefunga mabao hayo katika... Read More