NJOMBE WAAHIDI KUIBUKA NA POINT 3 DHIDI YA SIMBA LEO SABASABA


Kuelekea mchezo wa Leo dhidi ya Simba, Uongozi wa Njombe Mji umesema timu yao ipo tayari kwa mapambano.

Katibu Mkuu wa timu hiyo, Obed Mwakasungura, amesema wameshajiandaa kikamilifu kwa ajili ya kuikabili Simba.

Aidha, Mwakasungura amewaomba mashabiki wa Njombe Mji FC kujitokeza kwa wingi kesho ili kuipa hamasa timu yao.

Mwakasungura anaimani watapambana ili kupata ushindi leo japo amekiri kuwa mchezo utakuwa mgumu kwa kuwa kila timu imejipanga.
Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment