Nahodha wa Liverpool katika mchezo wa jana, Philippe Coutinho akishangilia baada ya kufunga matatu dakika za nne kwa penalti, 15 na 50 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Spartak Moscow usiku wa jana Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mabao mengine yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 18, Sadio Mane dakika ya 47 na 76 na Mohamed Salah dakika ya 86 na kwa matokeo hayo Liverpool inamaliza na pointi 12 kileleni mwa Kundi E na kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa ikiungana na Sevilla yenye pointi tisa
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
Mabao mengine yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya 18, Sadio Mane dakika ya 47 na 76 na Mohamed Salah dakika ya 86 na kwa matokeo hayo Liverpool inamaliza na pointi 12 kileleni mwa Kundi E na kufuzu hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa ikiungana na Sevilla yenye pointi tisa
0 Maoni:
Post a Comment