Harry Kane na Cristiano Ronaldo wote sasa wanakuwa wamefunga
mabao 29 katika mwaka huu wa 2017, Kane amefunga mabao hayo katika
michezo 27 ikiwemo wa jana ambao alifunga mara mbili wakati wakiifunga
BvB bao 3 kwa 1 huku bao lingine la Tot likifungwa na Son.
Cristiano
Ronaldo anakuwa amefunga mabao hayo katika michezo 30 aliyoitumikia
Madrid huku naye akifunga mara 2 wakati Real Madrid wakiifunga Apoel bao
3 kwa 0, bao lingine la Madrid lilifungwa na Sergio Ramos.
Kun
Aguero sasa abakuwa amefunga mabao 23 kati ya 84 ya Manchester City
katika CL huku John Stones akifunga mara mbili na Gabriel Jesus mara
moha wakati Manchester City wakiichakaza Feyenoord kwa mabao 4 kwa
sifuri
Sevilla
waliibana mbavu Liverpool kwa kuwalazimisha sare ya mbili kwa mbili na
wakati mabao ta Liva yakifungwa na Roberto Firminho na Mohamed Salah
yale ya Sevilla yaliwekwa kimiani na Ben Redder na Joachim Corea.
Rb
Leizpg walikataa kufungwa nyumbani na Monaco baada ya kutoka sare ya
moja kwa moha huku Emil Foraberg akiifungia Leizp na Youri Tielesman
akiifungia Monaco, Maribor wakiwa nyumbani walifungwa bao 1 kwa 0 na
Spartark Moscow kwa bao la Aleksandre Semardov.
Shakhtar
Donestk walifunga Napoli bao 2 kwa 1 kwa mabao ya Tayson na Ferreyra
hukublile la Napoli likiwekwa kimiani na Arkadiusz Milk, na Fc Port
wakiwa nyumbani nao wakakubali kufungwa bao 3 kwa 1 na Besitikas.
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
Home / General News /
Michezo /
Michezo Kimataifa
/ Harry Kane na Cr7 ni mwendo wa bampa to bampa CL, matokeo haya hapa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 Maoni:
Post a Comment