Jengo la klabu ya Yanga jumamosi ya Agosti 19 litapigwa mnada na kampuni ya Msolopa Investments Company Limited kwa amri ya mahakama kutokana na kudaiwa kodi ya ardhi zaidi ya milioni Sh. 300.
Katika tangazo ambalo limetolewa na kampuni ya Msolopa limesema kuwa mnada huo utafanyika kuanzia saa 4 asubuhi katika eneo ambapo jengo hilo lipo.
0 Maoni:
Post a Comment