Wanafunzi 106 watoroka usiku, wavamia sherehe na kupiga watu vibaya



Jeshila Polisi mkoani Tabora linawashikilia wanafunzi 106 wa shule ya
Sekondari ya Milambo kwa madai ya kufanya vurugu na kujeruhi wananchi
zaidi ya sita katika eneo la jirani na shule hiyo.


Wanafunzi hao wa kidato cha sita wamefanya vurugu hizo usiku baada ya kutoroka
shuleni na kuvamia kwenye sherehe ya harusi ambapo walitaka sherehe hiyo
iendelee hadi muda watakao amua wao.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa wanafunzi hao 106 wanashikiliwa na jeshi la polisi kuhusiana na tukio hilo.  

==>Tazama  tukio hilo hapo chini 

Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment