Kocha wa Italia,Gian Piero Ventura
 Mechi za  kufuzu fainali za kombe la Dunia 2018  hatua ya Makundi 
zimepigwa  hapo jana jumapili ambapo  Moldova imetoka sare na  Georgia 
ya bao 2-2, Finland imechapwa bao 2-1 na Ukraine, Ireland imetoshana 
nguvu na Austria ya bao 1-1, Israel imechapwa bao  3-0 na Albania, 
Iceland imeichapa  Croatia bao 1-0 ,Macedonia imefungwa bao 2-1 na  
Hispania, Italy ikiibugiza Liechtenstein bao 5-0, Serbia walitoka sare 
na  Wales ya bao 1-1 ,Kosovo imechabangwa bao 4-1 na Uturuki.
0 Maoni:
Post a Comment