MKUU
wa mkoa wa
Rukwa Zelote Stivini amemuagiza mkurugenzi
mtendaji wa halmashauri
ya wilaya ya
Sumbawanga Nyange Msemakweli
kuwapeleka wataaramu wa
ogani katika skimu
ya umwagiliaji ya sakalilo haraka
ili wakatoe elimu
ya umwagiliaji ili
kuwasaidia wakulima sambamba
na kukemea imani
potofu na
kuwaeleza umuhimu wa
kutumia kanuni bora
za kilimo.
Baadhi ya
wakulima wa mpunga katika
sikimu ya Sakalilo
wamesema wamekuwa wakilima
na kupata mazao
kiduchu kutokana na kuto
tumia mbolea kwa
kuogopa kuharibu uharisia
wa ardhi na kulazimika
kutumia mbolea
ya asili.
Mkurugenzi wa halamsahauri
hiyo Nyange Msema kweli , ambae licha
ya kukili kuwepo adha
hiyo, amesema atawagiza
maafisa kilimo ili
wakatoe elimu kwa wananchi
hao na hatimaye kuondokana na
imani potofu.
0 Maoni:
Post a Comment