Viongozi wa kabila la kihehe(Machifu) wakiwasili katika viwanja vya Ndolela kushuhudia ufunguzi wa Barabara.
Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali wakiwa katika ufunguzi wa barabara
Mh.Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jobu Ndugai akisalimiana na Jaji Mfawidhi wa Mkoa wa Iringa
Kikundi chaNgoma kikitumbuiza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Uchukuzi Makame Mbalawa mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi Willium Lukuviambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Isimani kupitia chama cha Mapinduzi CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akiwapungia mikono wananchi wa Mkoa wa Iringa k mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Ndolela Iringa Vijijini tayari kwa ufunguzi wa Barabara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Askofu Mstaafu wa KKKT Mdegela
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Dini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Dini ya Kiislam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Dini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Dini |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Kiongozi wa Dini |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa,ambae pia ni Mnec wa Mkoa wa Iringa Salim Asas |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli akisalimiana na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM MKoa wa Iringa Christopher Magala |
0 Maoni:
Post a Comment