Kiungo wa Manchester City Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu hiyo ya ligi kuu.
Mwanzoni mwa msimu huu, Toure aliachwa nje ya kikosi kilichoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa wa Ulaya na kisha meneja wake Pep Guardiola akaingia kwenye malumbano na Dimitri Seluk.
Kwa simu za hivi karibuni Toure aliyejiunga na City akitokea Barcelona, ameibuka na kuwa muhimili wa klabu hiyo jambo lililomfanya Guardiola kumuongezea mkataba mwingine.
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment