Klabu ya soka ya Chelsea imelipwa
paundi milioni 150.8 na chama cha soka cha England FA baada ya kushinda
ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2016-17.
Timu iliyoshika mkia kabisa Sunderland imepata Paundi milioni 93.471.
Fedha hizo zinatokana na matangazo ya Televisheni, mikataba ya kibiashara sambamba na zawadi. Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment