Mzee wa miaka 54 Mkazi wa kijiji cha Isasa, katika wilaya ya
Nkas mkoani Rukwa CHARLES GERVAS amefariki dunia baada ya kunywa
sumu ya isio fahamika kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa polisi mkoani Rukwa amesema chanzo Chanzo cha kunywa
sumu hiyo ni wivu wa mapenzi baada ya kukataliwa na mkewe MARIA MTETE,
Mfipa, Miaka 35,Mkulima,Mkazi wa Isasa ambaye alidai waachane na
marehemu baada ya kupata mwanaume mwingine na kusema Mwili wa
marehemu umehifadhiwa kituo cha afya Kirando kwa uchunguzi ili
kubaini sumu aliyoitumia kujiua.
0 Maoni:
Post a Comment