Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka, watanzania wengi wanapenda kujua timu anayocheza Mbwana Samatta KRC Genk imepangwa na timu gani.
KRC Genk itakuna na FC Astra Giurgiu ya Romania katika raundi hiyo baada ya Genk kumaliza vinara katika Kundi lake.
Mchezo wa kwanza Genk itacheza kwenye uwanja wake wa nyumbani halafu itasafiri hadi Romania kucheza mchezo wa marudiano.
0 Maoni:
Post a Comment