Imekua kama bahati mbaya au nzuri ka club mbili Arsenal na Bayern kukutana tena kwenye mechi ya UEFA Champions kwenye hatua ya mtoano.
Ozil na yeye pia alipatwa na mshangao kutokana na hali hiyo kujitokeza tena ambapo itamfanya arudi kwao Ujerumani kucheza dhidi ya Bayern.
Kwenye twitter Ozil ali post picha akikumbushia moja ya mechi zilizopita. Kwenye hiyo picha Jarome Boateng alimjibu na majibizano yao yalikua kama hivi.
Boateng; Mesut…kila mwaka mambo ni yale yale.
Ozil; Sasa hivi ni zamu yetu kaka.
Boateng; Hukusema hivi hivi mara ya mwisho?
Ozil; Huu ni mwaka mpya..sasa hivi hamna point 10 zaidi mkiongoza kwenye ligi ili muweze kuwapumzisha wachezaji wengine.
Boateng; Hahahaha…tutaona kaka.
Ozil; Sasa hivi ni zamu yetu kaka.
Boateng; Hukusema hivi hivi mara ya mwisho?
Ozil; Huu ni mwaka mpya..sasa hivi hamna point 10 zaidi mkiongoza kwenye ligi ili muweze kuwapumzisha wachezaji wengine.
Boateng; Hahahaha…tutaona kaka.
Hawa wawili wana urafiki wa karibu kwasababu ya kucheza pamoja kwenye timu ya taifa. Ozil atakutana na wachezaji wengi ambao amecheza nao kwenye timu ya taifa ya Ujerumani.
0 Maoni:
Post a Comment