Mwanafunzi Abdul Nondo ameiandikia barua Mahakama ya Iringa kuomba kubadilishiwa mwendesha mashtaka wa kesi yake Hakimu John Mpitanjia...
                                Read More 
                                
ALIKIBA APELEKWA MAHAKAMANI MATUNZO YA MTOTO
    Mfanyabiashara  wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Al...
                                Read More 
                                
GARI JIPYA LA ZARI LAZUA GUMZO "WCB"
    Mfanyabiashara maarufu na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Zarinah Hassan amethibitisha kuwa yeye ni Bosslady kweli...
                                Read More 
                                
DANTE APEWA UKAPTENI KWA MARA YA KWANZA YANGA
   Beki wa klabu ya Yanga, Andrew Vincent 'Dante' jana alipewa mikoba ya kuwa kapteni wa timu hiyo kufuatia kutokuwepo kwa Kelvin Yo...
                                Read More 
                                
AFARIKI DUNIA AKIJIPIGA SELFIE MTONI NA KUTUMBUKIA
     Kijana mmoja ambaye hakujulikana jina mara moja nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kutumbukia mtoni wakati akijaribu kujipiga pich...
                                Read More 
                                
RAIS MAGUFULI ATAKA HIFADHI YA RUAHA KUWA KITOVU CHA UTALII
        RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ameahidi kuugeza Mkoa wa Iringa kiutalii kwa kutengeneza Uwanja wa Ndegeb...
                                Read More 
                                
Subscribe to:
Comments
                            (
                            Atom
                            )
                          




