VIDEO : "Tumemkamata Diamond na Nandy Tutawapeleka mahakamani" MWAKYEMBE

Image result for DIAMOND VS NANDY
Jeshi la Polisi limemkamata msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' kwa tuhuma za kusambaza picha zisizo na maadili kwenye mitandao ya kijamii.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amethibitisha hilo bungeni, Dodoma leo baada ya Mbunge kuibua suala mmomonyoko wa maadili katika jamii.
Waziri amemtaja msanii Faustina Charles 'Nandy' naye yupo mikononi mwa Polisi kwa sababu ambazo zinahusishwa na ukiukwaji wa maadili.
Awali, Naibu wake Juliana Shonza aliwakumbusha wasanii kuhakikisha kazi zao zinakaguliwa kabla ya kusambazwa.
Waziri Mwakyembe ameliambia Bunge kuwa mtandao si sehemu ya kubeba kila kitu
ANGALIA HAPA FULL VIDEO

Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment