Ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na Ligi
Kuu Bara, Yanga itaivaa Singida United katika mechi ya kirafiki
itakayopigwa Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Tayari uongozi wa Singida United umethibitisha kuwepo kwa mechi hiyo kwenye Uwanja wa Taifa.
Timu zote mbili zinadhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.
0 Maoni:
Post a Comment