Mama
mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa
mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii
baada ya kuumwa..
Mrembo huyo wa Diamond amethibitisha taaifa hizo kupitia picha ya mama yake huyo aliyoiweka Instagram na kuandika, “It’s
with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely
mother who passed on this morning. May her soul rest in peace, May Allah
forgive you your sins and grant you Jana.”
“You
will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given the best
from God as our mother. We appreciate all you did for us. We will
forever cherish you Mama.Sleep well😢,” ameongeza.
Huu
ni msiba mkubwa wa pili kwa Zari kutokea mwaka huu baada ya takribani
miezi miwili iliyopita alifiwa na mzazi mwenzake Ivan Ssemwanga.
0 Maoni:
Post a Comment