ISHU YA MSUVA KWENDA MOROCCO, AKILIMALI NA WAZEE WENZAKE WA YANGA, WAMESEMA HAYA

Baraza la Wazee wa Yanga wamesema wanamtakia mafanikio mema kiungo wake, mshambuliaji Simon Msuva anayetarajia kujiunga na Klabu ya Difaa Hassani El Jadidi inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.

Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amesema kuwa kwa upande wao wanatoa baraka zote kwa mchezaji huyo ili aweze kufanikiwa zaidi baada ya kuitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa.

“Leo (jana) tulikuwa na kikao cha Baraza la Wazee wa Yanga na kikubwa ilikuwa ni kujadili suala la kijana wetu Msuva ambaye ameuzwa kwenda kucheza soka Morocco, wazee wa Yanga kwa upande wetu tumeridhia kuondoka kwake.

“Unajua kwa upande wetu ni heshima kubwa kwa klabu yetu kufungua milango ili vijana wetu waweze kucheza soka la kulipwa na ni heshima kubwa, mafanikio aliyotuachia ni makubwa na tunayaheshimu kwa sababu siku akiamua kurejea kucheza hapa atarudi kwenye timu yake ambayo imemkuza na kumpa mafanikio,” alisema Akilimali. 

Klabu hiyo ya Morocco iliyoshika nafasi ya pili msimu uliopita, imekubali kumlipa Msuva mshahara wa dola 4,000 (Sh 9m), kiasi ambacho awali aligoma akidai ni ndogo kwa sababu anakwenda kuishi ugenini.

Wakati huohuo, Msuva amesema anajua mazingira anayoenda kukutana nayo huku akipanga kuonyesha uwezo wa juu ili kuingia kwenye kikosi cha kwanza.

“Kabla ya kukubali dili la kutimkia Difaa El Jadidi, nilipata muda wa kuitazama ligi yao kubaini aina gani ya mbinu wanazitumia na nimegundua ni kama hapa Tanzania tu yaani hakuna tofauti yoyote ile.

“Kule wanatumia mawinga zaidi kwenye kutengeneza mabao kwa kupiga mipira mirefu pamoja na pasi za haraka, sasa ukiangalia mbinu hiyo mimi nimeicheza sana Yanga na ndiye nilikuwa injini ya kutengeneza mabao, jambo hilo linanipa matumaini ya kuona kwamba sitapata shida ya kufiti na kuingia kwenye mfumo wao,” alisema Msuva.

STAA wa filamu nchini Nigeria, Ini Eddo ameripotiwa kufanya upasuaji ili kuongeza ukubwa wa makalio yake na kutengeneza mvuto zaidi. Rafiki wa karibu wa staa huyo amesema kuwa imetumika naila mil 5 ili kufanikisha upasuaji huo. Mwanzoni alikuwa akikanusha kufanyiwa upasuaji huo kabla ya rafiki yake wa karibu kufichua taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari. Imekuwa tabia kwa mastaa wa filamu nchini Nigeria kufanya upasuaji huo ili kuongeza mvuto kwa mashabiki wao na watu wanaowatazama. Mwimbaji wa Marekani, Jennifer Lopez anatajwa kuwa chanzo cha masta wengine kuingia kwenye mkumbo huo baada ya upasuaji wake kufanikiwa miaka kadhaa iliyopita.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2017/07/ini-eddo-afanyiwa-upasuaji-ili-kuongeza.html
Copyright © saluti5

Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment