HATIMAYE SHABIKI MTOTO BRADLEY LOWERY KIPENZI CHA DEFOE AFARIKI DUN


Habari si njema katika familia ya soka ya England na duniani kote, nayo ni kifo cha mtoto Bradley Lowery.

Bradley shabiki namba moja wa Sunderland na rafiki namba moja wa mshambulizi mkongwe wa Sunderland na England, Jermain Defoe.

Mwenyezi Mungu amrehemu.



Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment