Nyumbani kwa marehemu Brown Kihongosi
Mh. Barka Kimata Diwani kata ya Kitwiru Akizungumza
Marehemu Brown Kihongosi alizaliwa Mwaka 1969 na amefariki tar 07/06/2017 katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa iringa mara baada ya kupata ajali ya gari kwa kugongwa eneo la Ipogolo Manispaa ya Iringa.
Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe,,, Utakumbukwa daima Brown Kihongosi
Marehemu ameacha mke na watoto
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment