Shirikisho la kandanda duniani
(FIFA) limekataa ombi la klabu ya soka ya Etoile Filante de Garoua
kutoka nchini Cameroon , kuizua timu ya taifa kushiriki katika michuano
ya mabara itakayofanyika tarehe 17 mwezi huu nchini Urusi.
FIFA imesema inafahamu kuwa kuna changamoto ya uongozi katika Shirikisho hilo la nchini Cameroon (FECAFOOT) lakini inaendelea kumtambua Sidiki kama kiongozi halali wa Shirikisho hilo
0 Maoni:
Post a Comment