Mtayarishaji wa muziki na rapa kutokea nchini Marekani, DJ Khaled
anaewinda nafasi ya uwenyekiti katika lebo ya Epic Record, nafasi ambayo
imeachwa na Antonio Marquisa amedata kwa mrembo Rihanna kwa kumposti
picha mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
DJ Khaled ametumia ukurasa wake wa Instagrama tangu jana kupost picha mbalimbali za mwanadada Rihanna na kuonekana kuwa na shauku ya sauti ya mrembo huyo, Kwani ameonekana akiandika maandishi yanayofanana kuashiria kuwa kuna ujio wa kolabo kati ya wawili hao.
Kufuatia post hizo kunaashiria kuwa huwenda kuna kolabo mpya inakuja kati yao ama tutegemee kusikia sauti ya mwanadada huyo kwenye album ya “Grateful”.
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
DJ Khaled ametumia ukurasa wake wa Instagrama tangu jana kupost picha mbalimbali za mwanadada Rihanna na kuonekana kuwa na shauku ya sauti ya mrembo huyo, Kwani ameonekana akiandika maandishi yanayofanana kuashiria kuwa kuna ujio wa kolabo kati ya wawili hao.
Kufuatia post hizo kunaashiria kuwa huwenda kuna kolabo mpya inakuja kati yao ama tutegemee kusikia sauti ya mwanadada huyo kwenye album ya “Grateful”.
0 Maoni:
Post a Comment