Hizi ni baadhi ya picha za makabidhiano hayo.
Hatimaye
aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnaye
amemkabidhi ofisi Dkt Harrison Mwakyembe ambaye ndiye waziri mpya wa
wizara hiyo aliyeteuliwa wiki iliyopita. Makabidhiano hayo yamefanyika
mapema leo asubuhi kwenye makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo mkoani
Dodoma.

|
|
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment