Tetemeko hilo limetokea usiku wa kuamkia Jumapili na lilisikika nchi nzima.
Waziri Mkuu John Key, amethibitisha kuwa watu wawili wamepoteza maisha.
Tetemeko hilo limesababisha madhara makubwa hususan kwenye miundo mbinu na kuwaacha watu wakirandaranda mtaani.
Tetemeko hilo limesababisha madhara makubwa hususan kwenye miundo mbinu na kuwaacha watu wakirandaranda mtaani.
Hizi ni picha zaidi:
0 Maoni:
Post a Comment