Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 43 kujeruhiwa huku wengine 17 wakinusurika katika ajali iliyotokea mlima kitonga inayohusisha gari kampuni ya Hood kugongana na lori aina ya Scania wilayani Kilolo mkoani siku ya jana majira ya saa nane mchana.
Lori aina ya Scania likiwa Limepinduka baada ya kugongana na Bus
0 Maoni:
Post a Comment