Picha: Ndani ya Birthday Party ya Diamond Platinumz na zawadi ya BMW aliyopewa
Diamond Platinumz juzi usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.
![]() ![]()
Diamond akionesha ufundi wa kupiga ngoma
![]()
Lil Ommy wa Times Fm (Kulia) na Sheddy Clever
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]()
Yamoto Band wakiwaburudisha waalikwa
![]()
Gari alilopewa kama zawadi na menejimenti yake
![]()
Mama Diamond
|
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 Maoni:
Post a Comment