TIMU YA KITWIRU FC KUA VIBONDE WA TIMU YA NYAMHANGA FC BAADA YA KUCHAPWA MAGOLI 5 KWA 1 KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA MBUZI YANAYOFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA KITWIRU SHULE YA MSINGI, HUKU BAO LAO LAKUFUTWA MACHOZI LIKIFUNGWA NA JOSEPH MLUA
Habari picha na Dajari MgidangeKulia Mhidini Msigwa na Harrison Mandela(JAJA) wakiwa mapumziko wakishikwa na butwaa baada ya kupigwa goli 2-1
Kikosi cha Timu ya Kitwiru FC
Timu ya Nyamhanga FC
TIMU ZIKIJIANDAA UWANJANI
Timu ya Kitwiru Wakishambuliwa
Mchezaji EMMANUEL MWENGA akiwa hoi kipindi cha kwanza
Mashabiki wakiangalia mpambano
Shabiki asiyekata tamaa akishangilia Kitwiru FC kwa jina MUSSA
Kipindi cha pili Nyamhanga FC wakishambuliwa
Baada ya mpira kuisha Shabiki akimpongeza Mchezaji JOSEPH MLUA
0 Maoni:
Post a Comment