Mkutano wa kwanza wa hadhara baada ya uchaguzi
uliofanyika Kata ya Kitwiru Manispaa ya Iringa eneo la NYAMHANGA Ulioitishwa na
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. RICHARD ATUFIGWEGE KASESELA ambao umeambatanishwa
na ugawaji wa Kuku kutoka kwa kampuni ya SILVERLANDS inayojihusisha na ufugaji
na uuzaji wa kuku aina tofauti tofauti.
Akizungumza Diwani mteule ambaye bado hajaapishwa BARAKA KIMATA
amewashukuru wananchi hao kwa kuweza kumpaa nafasi tena ya kuongoza kata hiyo
Meneja wa Silverlands Bi MWAMVUA
NGOCHO kabla ya kugawa kuku hao zaidi ya 200 kwa vikundi vya akina mama
takribani 6 ambavyo kila kimoja kimepata kuku 30 akitoa maelekezo ya kuku hao aina ya SASO ambao wanauwezo wa kutaga mayai 200 yenye ufanano na yale ya kienyeji na hawahitaji matunzo makubwa kama kuku wengine wakisasa.
0 Maoni:
Post a Comment