|
Wananchi wa
kijiji cha Mseke Iringa wakitazama gari la zimamoto toka Manispaa ya
Iringa likizima Moto uliokuwa unateketeza nyumba ya mkazi wa Mseke
chanzo cha moto huo hakifahamiki na mwenyenyumba anadaiwa kuwa shamba |
Zoezi la kuzima Moto huo likiendelea
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo Moto huo umeanza kuwaka ghafla mida ya saa 8 mchana wa leo
Taarifa zaidi utaipata
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment