Shirikisho la soka barani Ulaya
(UEFA) limetangaza kuanza kutolewa kwa tuzo tano mpya za wachezaji bora
wa mwaka kuanzia Agosti hii ambazo washindi wake watapatikana toka kura
za makocha na wanahabari.
Tuzo hizo 5 mpya ni kwa wachezaji waliofanya vyema kwenye mashindano ya klabu ya UEFA kwa msimu uliopita, kwa mwaka 2016/17,na zitatolewa sambamba na za mchezaji bora wa mwaka kwa wanaume na na wanawake
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment