Mechi za Kirafiki za kimataifa kwa
mujibu wa Kalenda ya FIFA zinaendelea tena hii leo Jumanne kwa Mechi
kadhaa ambapo Australia wanakabiliana na Brazil na Ufaransa kuivaa
England.
Argentina wao watakuwa huko Singapore kuwavaa Wenyeji wao
Singapore, Indonesia wanawakaribisha Puerto Rico ,Afrika kusini ni
wenyeji wa Zambia, Norway watachuana na Sweden, Romania dhidi ya Chile,
Cameroon wanacheza na Colombia
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
0 Maoni:
Post a Comment