AFC Leopards kuchuana na Singida Utd

Tanzania

Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa  ni kati ya Gor Mahia Vs Jang'ombe Boys Fc.
Share on Google Plus
Ahsante kwa kutembelea site yangu, unaweza kunicheki kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza icons juu kulia na kunipata moja kwa moja kwenye Facebook, Twitter na Instagram...Endelea kuwa karibu yangu ili uweze kufikiwa na chochote kinachonifika.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment