Idadi ya watu
waliofariki baada ya kunywa sabuni wakidhania ni pombe imefikia watu 58
kutoka 49 kulinga na vyombo vya habari nchini Urusi.
Wengi wa watu 37 walioathirika bado wanaendelea kutibiwa huku wengine wakiwa katika hali mahututi.Raia hao walikunywa maji ya sabuni yaliokuwa na sumu kali wakidhania ilikuwa pombe kulingana na kamati ya uchunguzi ya Urusi .
Lakini maji hayo yalikuwa na kemikali ya Ethanol inayoweza kusababisha upofu.
0 Maoni:
Post a Comment