Bondia Conor McGregor ameahidi
kumtangwa Floyd Mayweather ndani ya Round nne wawili hao walipokutana
katika kulizungumzia pambano lao la Agosti 26.
'Upinzani atakaoupata kutoka kwangu hajawahi kuupata kamwe'', alisema McGregor, 28.Mayweather akajibu ''Nakuhakikishia nitaharibu uso wako''.
Mpambano huo unatajwa kuwa miongoni mwa itakayovutia zaidi duniani.
0 Maoni:
Post a Comment